Dodoma FM

Athari za mabadiliko ya tabia nchi zinavyosababisha kushuka kwa elimu ya wasichana

14 November 2023, 5:58 pm

Picha ni Wanawake nchini Chad wakihanagaika kutafuta maji . Picha na Rfi.

Leo tunaangazia jinsi Athari za mabadiliko ya tabia nchi zinavyosababisha kushuka kwa elimu ya wasichana.

Na Mariam Matundu.

Mariam matundu awali alizungumza na mwanaharakati wa maswala ya mabadiliko ya tabia nchi na haki za wasichana fower malle na ameanza kumuuliza mabadiliko ya tabia nchi yanakwamishaje elimu kwa msichana ?