Dodoma FM

Nini hupelekea mwanamke kujifungua watoto pacha.

11 January 2024, 7:58 pm

Picha ni mtaalamu wa afya ya mama na mtoto kutoka katika kituo cha afya mkonze Daktari Halima Heri akiongea na kituo hiki. Picha na Thadei Tesha.

Daktari Halima pamoja na wataalamu wengine wa afya wanawashauri akina mama kuwa na utaratibu wa kuhudhuria kliniki ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo suala hili.

Na Thadei Tesha.
Kufuatia hivi karibuni Mwanamke mmoja kujifungua watoto mapacha wanne katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Dodoma tv imefanya mahojiano na mtaalamu wa afya ya mama na mtoto kufahamu kitaalamu sababu za mjamzito kuzaa watoto pacha.

Ni hivi karibuni tuu ambapo mama huyu alijifungua watoto pacha wanne na kuzua mjadala katika jamii huku wengi wakionesha kushangazwa na tukio hili.

Namtafuta mtaalamu wa afya ya mama na mtoto kutoka katika kituo cha afya mkonze Daktari Halima Heri ambapo namuuliza ni mchakato wa namna gani unaotokea hadi mama kujifungua watoto pacha?

Sauti ya Daktari Halima Heri.
Picha ni kituo cha afya mkonze Daktari kilichopo Jijini Dodoma . Picha na Thadei Tesha.

Daktari halima anasema kuwa baada ya watoto pacha kuzaliwa upo umuhimu mkubwa katika suala la kuzingatia lishe bora kama anavyoeleza?

Sauti ya Daktari Halima Heri.

Wananchi nao wanatoa mtazamo wao juu ya ni kwa namna gani wanafahamu namna bora ya kuwatunza watoto pacha?

Sauti za wananchi.