Dodoma FM

Wananchi Dodoma wakemea tabia ya baadhi ya watu kuwatetea wahalifu

25 October 2023, 9:28 am

Picha ni baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wakiongea na Dodoma Tv. Picha na Aisha Shaban.

Hayo yanajiri kutokana na matukio mbalimbali ya kihalifu yanayoendelea katika  mitaa ya jiji la Dodoma.

Na Aisha Shaban.

Baadhi ya wanachi wamezungumzia tabia ya baadhi ya watu katika mitaa kupenda kuwatetea wahalifu na kwenda kuwawekea dhamana wakikamatwa hali inayosababisha uhalifu kuendelea .

Hayo yanajiri kutokana na matukio mbalimbali ya kihalifu yanayoendelea katika  mitaa mbalimbali hali ambayo imenilazimu kuwahoji wananchi na kutoa maoni yao juu ya  matukio hayo.

Sauti za Wananchi.