Dodoma FM

Bilion 20.6 zatarajiwa  kujenga eneo la kupumzikia Swaswa        

30 August 2023, 4:18 pm

Picha ni Bwawa la asili ambalo limekauka katika mtaa wa Swaswa kata ya Ipagala Jijini Dodoma. Picha na George John.

Inasemekana bwawa hilo limekauka kutokana na shughuli za kibinadamu zilizokuwa zikifanyika katika eneo hilo ikiwemo shughuli za kilimo.

Na Mindi Joseph.

Shilingi Bilion 20.6  zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Mradi wa eneo la Kupumzikia baada ya Bwawa la Swaswa lililopo kata ya Ipagala jijini Dodoma kukauka.

Shughulii za kibinadamu ikiwemo ujenzi na kilimo zimechangia kukauka kwa bwawa hili.

Mwenyekiti wa mtaa wa swaswa anazungumzia ujio wa mradi huo baada ya kukauka kwa Bwawa Hilo.

Sauti ya Bw Charles Nyuma.
Picha ni mwenyekiti wa mtaa wa Swaswa bwana Charles Nyuma akizungumza na Mulika ya Dodoma TV .Picha na George John.

Huyu ni Mkulima ambaye alikuwa anategemea bwawa hilo la swaswa kulima naye alikuwa na haya ya kusema.

Sauti ya mkulima .