Dodoma FM

Miundombinu hafifu sera ya Elimu 2014

29 April 2021, 5:42 am

Na; Mariam Matundu.

Wakati taasisi ya haki elimu ikitarajia kuzindua ripoti ya uchambuzi wa kina wa sera ya elimu leo April 29 ,miundombinu hafifu imetajwa kuwa kikwazo katika utekelezaji wa sera ya elimu ya mwaka 2014.

Mwandishi wetu Mariam Matundu amefanya mazungumzo na mkurugenzi wa marafiki wa elimu Dodoma Davis Makundi, na ameanza kwa kumuuliza anadhani nini kinasababisha mpaka sasa sera ya elimu ya mwaka 2014 kushindwa kutekelezeka katika baadhi ya mambo ?