Dodoma FM

Zifahamu hatua za kilimo cha zabibu

6 December 2023, 12:56 pm

Picha ni moja ya Shamba la zabibu linalopatikana Jijini Dodoma . Picha na Fahari ya Dodoma.

Kwa nini zao la zabibu hustawi zaidi katika eneo la mkoa wa Dodoma na si maeneo mengine?

Na Yussuph Hassan.

Baada ya kufahamu kwa undani aina za zabibu nchi zilizotoka na njia zilizotumika pamoja na utafiti kwanini mkoa wa dodoma unastawi vyema zabibu, kupitia fahari tunajuzwa hatua kwa hatua kilimo cha zabibu .

clip .

Nikuache hapa kwenye swali, licha ya sababu tulizofahamu juu ya kukua na kustawi kwa kilimo cha zabibu ila, nini sababu ya pekee Dodoma kustawi zabibu.