Dodoma FM

Hizi hapa aina nne za zabibu zinazozalishwa jijini Dodoma

10 March 2023, 5:07 pm

Aina za zabibu zinazozalishwa jijini Dodoma.Picha na Martha Mgaya

Leo tutaangalia historia ya aina na maumbo mbalimbali ya tunda la zabibu linalozalishwa ndani ya jiji la Dodoma.

Na Yusuph Hassani.

Darwesh Said akisimulia.Picha na Martha Mgaya

Darwesh Said ambaye ni mwakilishi wa kikundi cha kutunza mazingira chapakazi anasimulia historia mzima ya kuhusiana na aina ya tunda hilo la zabibu linalo patikana jijini Dodoma.