Dodoma FM
Nini unatakiwa kufanya unapo baini dalili za usonji kwa mtoto
5 May 2023, 4:06 pm
Le Dkt Arapha anaeleza hatua zinazopaswa kuchuliwa unapoona dalili za Usonji kwa mtoto. Picha na Yussuph Hassan.
Na Yussuph Hassan.
Leo tunaendelea kuzungumzia nini cha kufanya endapo mzazi au mlezi akiona dalili za mtoto mwenye usonji, tunaungana na Dkt Arapha Aragika kutoka hospitali ya Taifa ya Afya ya akili ya Mirembe.