Dodoma FM

DUWASA yatolea ufafanuzi changamoto za mifumo ya maji taka

23 December 2023, 5:28 pm

Picha ni baadhi ya miundombinu chakavu ya maji taka katika eneo la Area c . Picha na Thadei Tesha

Thadei Tesha amezungumza na wakazi wa eneo hilo pamoja na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira DUWASA.

Na Thadei Tesha.

Mamlaka ya maji safi na usafi wa mzingira Jiji la dodoma DUWASA imetolea ufafanuzi baadhi ya changamoto za mifumo ya maji taka zilizopo katika maeneo mbalimbali jijini Dodoma ikiwemo mtaa wa Area c.