Dodoma FM
Dodoma FM
12 December 2024, 5:32 pm

Hitimisho la historia ya Kisima cha Nyoka katika mtaa wa Mazengo.
Na Yussuph Hassan.
Mwanandishi wetu Yussuph Hassan bado yupo mtaa wa Mazengo kata ya Chang’ombe na leo anahitimisha historia ya kisima cha nyoka.