miundombinu
4 November 2026, 12:58 pm
Chanjo za watoto kinga dhidi ya ulemavu unaoepukika
“Tusipuuze chanjo tangu kipindi cha ujauzito hadi mtoto anapofikisha umri wa miaka 2“ Na. Leah Kamala Wazazi na walezi mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia ratiba ya chanjo kwa watoto ili kuwakinga na magonjwa yanayoweza kusababisha ulemavu pamoja na madhara ya kiafya.…
23 October 2026, 4:42 pm
RC Mara aamuru bodaboda wavunja sheria wabanwe bila huruma
Mtambi amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya kuhakikisha madereva wote wa bodaboda watakaobainika kukiuka sheria hizo wanakamatwa Na Adelinus Banenwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evance…
19 October 2026, 10:52 am
Redio jamii zatakiwa kuwapa nafasi watu wenye ulemavu
Mafunzo hayo yanatarajiwa kusaidia kubadili namna wanahabari wanavyoibua na kuripoti masuala ya watu wenye ulemavu, huku yakichochea ushiriki wenye maana wa kundi hilo katika vipindi mbalimbali vya redio. Mrisho Sadick: Waandishi wa habari kutoka redio 14 za jamii Kanda ya…
15 September 2026, 9:48 pm
Madereva wavunja sheria hatarini kunyang’anywa leseni
Dereva anaweza kupata nukta moja kwa kosa la kutofunga mkanda wa usalama, nukta tatu kwa kosa la uendeshaji wa hatari na nukta tano kwa kosa la mwendokasi Na Adelinus Banenwa Mkuu wa Usalama Barabarani Wilaya ya Bunda, ASP Faustine Buhembere,…
7 August 2026, 6:20 pm
Mamlaka ya Bodi ya Maji Pangani yatoa elimu ya uhifadhi wa vyanzo vya maji
Mamlaka ya Bonde la Maji Pangani Kanda ya Kaskazini, inayohudumia mikoa yaArusha na Kilimanjaro, imetoa elimu kwa wananchi kuhusu majukumu ya mamlaka hiyo, pamoja na umuhimu wa kulinda na kuhifadhi vyanzo vya maji. Na Emmy Peter Elimu hiyo imetolewa katika…
4 August 2026, 10:43
Kasulu yapata 100% ya ufaulu kidato cha sita 2026
Kwa matokeo hayo ya asilimia 100 ya ufaulu wa kidato cha sita, Halmashauri ya Mji Kasulu inaendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha sekta ya elimu na kuzalisha wahitimu wenye uwezo wa kuchangia maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla Na…
6 May 2026, 12:26 pm
Watu 32 wafariki Geita kwa miezi mitano
Afisa wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji akionyesha namna ambavyo jeshi hilo hufanya kazi ya uokoaji. Picha na Kale Chongela Jumla ya matukio 82 yameripotiwa katika kipindi cha miezi mitano ndani ya mkoa wa Geita ambapo kati ya matukio hayo,…
25 February 2026, 12:15 pm
Watumishi ajira mpya Manispaa ya Geita wapigwa msasa
“Naamini baada ya mafunzo haya mtaendelea kuwa na utendaji wenye tija na kuzingatia miiko ya utumishi wa UMMA kwa kujiepusha na vitendo vyenye kujenga taswira mbaya ya Serikali kwenye Jamii” -Mkurugenzi Yefred Myenzi Na: Ester Mabula Jumla ya watumishi 209…
16 October 2025, 8:02 am
TAKUKURU yagusa uhai wa watoto njiti Songwe
Kwa ajili ya watoto wachanga wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) Na Ezekiel Mwinuka Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU nchini Crispin Chalamila amekabidhi vifaa hivyo leo na kwamba vimenunuliwa kwa michango ya watumishi nchini wa Takukuru nchini kwa lengo la kuunga juhudi…
18 December 2023, 13:55
wananchi Kigoma walalamikia TARURA kuelekeza maji ya mitaro mingi kwenye makazi…
Wananchi wa Mtaa wa Katubuka maeneo ya Bwawani Kata ya Katubuka Manispaa ya Kigoma Ujiji wamelalamikia Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini TARURA kuelekeza mitaro mingi ya maji kwenye mtaa huo na kupelekea mtaa huo kujaa maji kipindi cha…