

Vwawa FM Radio
103.7 MHz
Vwawa, Songwe
0755547156
vwawafm1radio@gmail.com
https://songwemedia.co.tz/
103.7 MHz
Vwawa, Songwe
0755547156
vwawafm1radio@gmail.com
https://songwemedia.co.tz/
June 11, 2025, 6:38 pm
Watoa huduma za afya Wilaya ya Mbozi wamepatiwa mafunzo ya lugha ya alama ili kuboresha huduma kwa watu wenye ulemavu wa kusikia na kuhamasisha ushiriki wao katika jamii Na Stephano Simbeye. Watoa huduma za afya kutoka kata tano za Wilaya…
June 9, 2025, 1:39 pm
Na Stephano Simbeye Mitazamo hasi dhidi ya watu wenye ulemavu imeendelea kuwa mojawapo ya sababu zinazochangia kutowajumuisha ipasavyo katika shughuli za maendeleo ya jamii, hali inayosababisha vipaji vyao walivyopewa na Mungu kubaki bila kuendelezwa. Kauli hiyo imetolewa Juni 6 mwaka…
June 7, 2025, 7:47 am
Ni kurahisisha mawasiliano na wasiosikia Na Stephano Simbeye Shirika lisilo la Kiserikali la ADP Mbozi mkoani Songwe limewasihi watoa huduma za afya nchini kuielewa lugha ya alama inayotumiwa na wenye changamoto za kusikia ili waweze kuwasiliana vuziri na watu wanaotumia…
June 6, 2025, 12:39 pm
Ni pamoja na kupata elimu ya lishe bora na afya ya watoto Na Mwandishi wetu Wazazi na walezi wa watoto chini ya miaka mitano kitongoji cha Isangu Mbozi mkoani Songwe wamehimizwa kufika kliniki na kuwalisha watoto chakula bora ili wakue…
June 5, 2025, 4:36 pm
Ni kuhusu umiliki wa zawadi ya ardhi au gari Na Pili Mwang’osi Vijana wanaotarajia kuoa ama kuolewa wametakiwa kutambua kuwa zawadi wanazopewa kwenye sherehe ni hazina ya wanandoa wote. Mchungaji wa Kanisa la Moravian,Ushirika wa Isangu, Tabson Mgala maarufu Walola…
June 5, 2025, 1:57 pm
Wadai kukerwa na harufu mbaya, mwenyekiti wa madereva atoa ya moyoni Na Anyisile Fredy Baadhi ya abiria wa bodaboda na bajaji mjini Vwawa Mbozi mkoani Songwe wameendelea kuzungumzia kero wanazopata kwa madereva wachafu wa vyombo hivyo. Akizungumzia suala hilo, abiria…
June 1, 2025, 11:20 am
Kanisa la Last Church of Tanzania limeendesha zoezi la kugawa misaada ya bidhaa muhimu kwa wahitaji wilayani Mbozi, likisisitiza kuwa huduma hiyo itaendelea kila mwezi. Na Anyisile Fredy Askofu wa Kanisa la Last Church of Tanzania, David Sichone, amesema utoaji…
May 27, 2025, 9:52 am
Ukosefu wa vyoo katika vituo vya bodaboda wazua hofu ya uchafuzi wa mazingira katika mkoa wa Songwe Na Mkaisa Mrisho Waendesha pikipiki (bodaboda) katika maeneo mbalimbali ya Vwawa, mkoani Songwe, wamelalamikia ukosefu wa vyoo katika vituo vyao vya kazi, wakisema…
May 26, 2025, 12:37 pm
Kufungwa kwa mpaka wa Isongole imekuwa kilio kwa wafanyabiashara wa mpakani hususani wanaouza mazao nje ya nchi Na Kennedy Sichone Wafanyabiashara wa Isongole na maeneo ya jirani katika Wilaya ya Ileje, Mkoa wa Songwe, April 28 mwaka huu wameiomba serikali…
May 14, 2025, 11:30 am
Ni chakula cha asili, wanadai wanakipenda kuliko nyama ya ng’ombe au mayai Na Mwandishi Wetu Baadhi ya Wakazi wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wametoa wito wa kuenzi vyakula vya asili kikiwamo kikanda maarufu kwa jina la kinaka. Wakizungumzia kuhusu…
“VWAWA FM” is a commercial, variety hits radio station transmitting from VWAWA MBOZI, SONGWE. The radio is programmed with music, well researched information, ethical advertisement and promotions. The station employs competent individuals who are creative and professionally dedicated to satisfying our listeners, sub scribers, and advertisers, needs.
The radio is owned by SONGWE MEDIA COMPANY LIMITED, a company registered under Tanzania Act of Companies in 6th September 2017 with certificate of incorporation No. 137624 of 6th September, 2017.
The main purpose for the establishment of VWAWA FM was to air to the public the important event, occurring in the country and outside of it, as well as, education, customs, tradition, science, health, agriculture, road traffic, household knowledge, and entertainment through to traditional and modern songs, opera, drama, music among others. This satisfies the needs of information sharing and talent development.
VWAWA FM is located in SONGWE region, Mbozi District at Hasanga Ward though its broadcasting covers areas of neighboring regions, like Mbeya, and some areas of Rukwa, katavi, Njombe and some parts of Northern regions of Zambia and Malawi.
To be the best radio on the southern highland regions, whose content is to be closer to the listeners by telling them their annoyances, informing, educating, criticizing and entertaining.
Help provide employment to young people journalist and non journalist.