
Recent posts

18 July 2025, 7:36 pm
Watakaotoa siri kukiona cha moto Geita na Kagera
Maandalizi ya uchaguzi mkuu yameendelea kwa wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya mikoa kuendelea kupatiwa mafunzo. Na Mrisho Sadick: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka waratibu, wasimamizi na maafisa wa uchaguzi nchini kuhakikisha wanazingatia kiapo walichoapa kwa kujiepusha na vitendo…

18 July 2025, 7:20 pm
Wanawake zaidi ya 200 wakimbilia VETA Chato
Wanawake mkoani Geita wameendelea kuchangamkia fursa ya elimu ya ufundi katika vyuo mbalimbali vilivyopo mkoani humo ili kujikwamua kiuchumi. Na Kale Chongela: Zaidi ya wanawake 200 wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita wanaonufaika na mafunzo ya ufundi stadi katika…

18 July 2025, 5:06 pm
GGM Kili Challenge 2025 yazinduliwa Kilimanjaro
Tangu kuanzishwa kwa Kili Challenge mwaka 2002 imelenga kukusanya Dola za Kimarekani Milioni Moja kila mwaka. Na Mwandishi Wetu: Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu Mhandisi Jackson Masaka leo Julai 18,2025 ameongoza zoezi la uzinduzi wa GGM…

16 July 2025, 6:14 pm
Yapi madhara vijana kutumika vibaya kwenye siasa?
Msikilizaji na mdau wa Storm FM Sauti ya Geita karibu kusikiliza Makala ya Tafakari Pevu inayoangazia madhara ya vijana kutumika vibaya kwenye siasa kuelekea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Makala hii imeandaliwa na timu nzima ya Storm FM

16 July 2025, 5:52 pm
Warundi 126 wakamatwa wakiishi kinyemela Geita
Oparesheni ya kusaka raia wa kigeni wanaoishi nchini kinyume na utaratibu mkoani Geita imezaa matunda Na Kale Chongela: Idara ya Uhamiaji Mkoani Geita katika oparesheni zake imefanikiwa kuwakamata nakuwarudisha makwao raia wa kigeni 126 waliongia nchini kinyume Cha Sheria Kutoka…

15 July 2025, 2:01 pm
Wasimamizi wa uchaguzi kutoka Geita, Kagera wapewa mafunzo
Jumla ya washiriki 98 kutoka mikoa ya Geita na Kagera wameshiriki katika mafunzo ya siku tatu yaliyoanza leo kuelekea uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Na: Ester Mabula – Geita Mafunzo hayo ya siku tatu yameanza leo Julai…

14 July 2025, 7:35 pm
NMB yawa mkombozi kwa walimu Geita
Benki ya NMB imeendelea kuwa karibu na walimu ili kuwapunguzia baadhi ya changamoto ambazo ziko ndani ya uwezo wa benki hiyo kama mikopo yenye mashariti nafuu. Na Mrisho Sadick: Serikali imeahidi kuendeleza ushirikiano na Benki ya NMB kutokana na mchango…

12 July 2025, 5:01 pm
Madereva Shilabela wapinga kuondolewa eneo la kupaki
Kutimuliwa kwa madereva wa mizigo eneo lao la kupaki Shilabela Manispaa ya Geita lachukua sura mpya Na Kale Chongela: Madereva wa magari ya mzigo yanayopaki pembezoni mwa barabara katika Mtaa wa Shilabela Kata ya Buhalahala Manispaa ya Geita Mkoani Geita wamepinga kauli…

12 July 2025, 4:43 pm
Wananchi waanzisha ujenzi wa soko Mbogwe
kutembea umbali mrefu , ajali za barabarani zimewasukuma wakazi wa Mji Mwema kuanzisha ujenzi wa soko la mtaa Na Edga Rwenduru: Wakazi wa Kitongoji cha Mji Mwema Kata ya Lulembela wilayani Mbogwe Mkoani Geita wameamua kuanzisha Ujenzi wa soko la…

12 July 2025, 4:14 pm
Wanawake na Samia zaidi ya 100 wanufaika na mafunzo ya VETA Geita
Baada ya serikali kuwasisitiza watanzania kuchangamkia fursa ya elimu ya ufundi wanawake Geita wamejitokeza katika chuo cha VETA kupatiwa mafunzo katika fani mbalimbali. Na Kale Chongela: Wanawake na Samia zaidi ya 100 wanaonufaika na mafunzo ya ufundi stadi kutoka Chuo…