Storm FM

27 May 2023, 12:20 pm

Na Mrisho Sadick: Kufuatia Kampeni ya “TUMUWEZESHE” Iliyoratibiwa na Storm FM kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kuchangia taulo za kike hatimaye zoezi hilo limefanikiwa kwa kutembelea nakutoa taulo hizo kwa wanafunzi wa kike katika baadhi ya shule zilizopo katika Halmashauri ya Mji wa Geita ikiwemo Nyanguku Sekondari.

Storm FM inawashukuru watu wote walioshiriki kufanikisha kampeni hii kwani imekuwa Msaada Mkubwa kwa wanafunzi wakike.