Storm FM

Maonesho kuanza rasmi leo.

16 September 2021, 5:23 pm

Na Kale Chongela:

Hatimaye siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa imetimia ambapo leo Septemba 16, 2021 yanaanza maonesho ya nne ya teknolojia na uwekezaji katika sekta ya madini mkoani Geita.

Kauli mbiu katika maonesho hayo kwa mwaka huu ni “Sekta ya Madini Kwa Ukuaji wa Uchumi na Maendeleo ya Watu”.