Storm FM

Waiba mali na kubaka watu wawili wa familia moja.

11 March 2022, 5:43 pm

Na Zubeda Handrish:

Katika hali ya kusikitisha familia moja katika mtaa wa Majengo uliopo kijiji cha Kasamwa mkoani Geita wamevamiwa na kuibiwa mali na wanafamilia wawili wanawake kubakwa na watu sita.

Baada ya tukio hilo kutokea wamezungumza wahusika.