Storm FM

Kipi kifanyike kuondoa ukatili wa kijinsia kwenye jamii?

23 October 2026, 7:15 pm

Je, wafahamu aina za Ukatili wa Kijinsia? - Radio Maria

Picha ya mtu aliyewahi kufanyiwa ukatili wa kijinsia. Picha na mtandao

Kipindi hiki maalum kinachoangazia masuala ya ukatili wa kijinsia kwenye jamii kinapewa nguvu na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Storm FM.

Na: Ester Mabula

Karibu kusikiliza kipindi maalumu kinachoangazia masuala ya ukatili wa kijinsia ambapo leo kimejikita katika kuangazia juu ya namna gani Jamii inaweza kushiriki katika mapambano ya ukatili wa kijinsia.

Mada yetu kwa siku ya leo tumehoji juu ya Je nini kifanyike ili kuondoa ukatili wa kijinsia kwenye Jamii?

Sauti ya kipindi