Storm FM

Shangwe zaendelea maonesho Geita.

22 September 2021, 11:04 am

Na Kale Chongela:

Kikundi Cha Ngoma  kutoka Mkoa wa Mwanza  kikiendelea kutumbuiza katika Uwanja wa EPZ Bombambili mjini Geita, kwenye Maonesho ya Nne ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini ambayo leo tarehe 22 Septemba yatazinduliwa rasimi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa.