
Recent posts

21 March 2025, 10:45 am
Adaiwa kunywa sumu baada ya mke kuondoka na Tsh. laki 2
Mwanaume mmoja mkazi wa kata ya Kasamwa katika halmashauri ya manispaa ya Geita amenusurika kifo baada ya kufanya jaribio la kujiua kwa kunywa sumu. Na: Kale Chongela – Geita Gerevas Deus anakadiriwa kuwa na umri wa miaka 28 mkazi wa kijiji…

21 March 2025, 9:55 am
Mti uliokatwa wakutwa umesimama Mpomvu
Wakazi wa mtaa wa Mpomvu kata ya Mtakuja, halmashauri ya manispaa ya Geita wameshtushwa na hali ya mti uliopo katika kanisa la GGC uliokuwa umekatwa kukutwa umesimama. Na: Kale Chongela – Geita Wakizungumza na Storm FM Marchi 20, 2025 baadhi…

20 March 2025, 12:13 pm
Wawili mbaroni kwa ubakaji wa mwanafunzi (10), yumo mwalimu
Katika hali ya kushangaza mwanafunzi wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akifanyiwa vitendo vya ubakaji kwa zaidi ya mwezi mmoja na watu wawili akiwemo mwalimu wake. Na: Emmanuel Twimanye – Sengerema Jeshi la Polisi wilayani Sengerema…

19 March 2025, 5:58 pm
Wananchi Geita wahoji mapato ya 10% ya viwanja
‘Inabidi viongozi wa mtaa waweke wazi juu ya mapato ya asilimia 10 ili tuelewe inatumika katika maeneo gani’ – Mwananchi Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wakazi wa kata ya Buhalahala katika halmashauri ya manispaa ya Geita wamewaomba viongozi…

19 March 2025, 4:42 pm
Sekondari ya Mbabani yaondoa kikwazo kwa wanafunzi
Ikiwa leo imetimia miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakazi wa mtaa wa Mbabani kata ya Mtakuja, halmashauri ya manispaa ya Geita wamshukuru kwa kuwajengea shule ya sekondari. Na: Ester Mabula – Geita Viongozi na wananchi wa…

19 March 2025, 4:00 pm
Miaka minne ya Rais Samia yaacha neema Geita
Leo Marchi 19, 2025 imetimia miaka minne ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambapo katika kipindi hicho miradi mbalimbali ya kimkakati imeanzishwa wilayani Geita. Na: Ester Mabula – Geita Wananchi wilayani na mkoani Geita…

18 March 2025, 2:49 pm
Wananchi Nyantorotoro B waomba alama za barabarani
Alama za barabarani hutajwa kusaidia katika muongozo wa matumizi ya barabara sambamba na kurahisisha watumiaji kuepukana na ajali za barabarani. Na: Kale Chongela – Geita Wananchi wa mtaa wa Nyantorotoro B eneo la Uboani, kata ya Nyankumbu, halmashauri ya manispaa ya…

17 March 2025, 12:34 pm
Picha: Ibada ya kumwombea Hayati JPM wilayani Chato
Tarehe 17 ya mwezi Machi 2021 ni siku ambayo Tanzania iliingia simanzi baada ya kifo cha Rais wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli. Leo imetimia miaka minne tangu kifo chake. Na: Ester Mabula – Geita Viongozi mbalimbali wa…

9 March 2025, 2:45 pm
Mbunge atoa kompyuta 5 Ihanamilo sekondari
Wadau mbalimbali wa elimu wameombwa kuendelea kujitokeza kusaidia sekta hiyo hususani katika masuala ya TEHAMA. Na Mrisho Shabani: Mbunge wa Jimbo la Geita mjini Costantine Kanyasu ametoa Kompyuta zenye thamani ya zaidi ya milioni 10 katika shule ya sekondari Ihanamilo…

9 March 2025, 2:31 pm
Wasabato wafanya matendo ya huruma Geita
Jamii imeombwa kuendelea kuwasaidia watu wenye mahitaji ikiwemo wagonjwa , wafungwa na wale wanaoshi katika mazingira magumu. Na Mrisho Shabani: Kanisa la Waadventisti Wasabato Mtaa wa Geita kati limetoa zawadi nakuwaombea wagonjwa katika Hospitali ya Manispaa ya Geita mkoani Geita…