Storm FM

Recent posts

5 September 2026, 1:16 pm

TANROADS yafanya maboresho ya alama za barabarani Geita

Uwepo wa alama zinazoonekana vizuri ni muhimu katika kuwasaidia madereva na watembea kwa miguu kuchukua tahadhari na hivyo kupunguza uwezekano wa ajali za barabarani. Na Kale Chongela: Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Geita imefanya maboresho ya alama za…

3 September 2026, 6:49 pm

Wanahabari Geita wajengewa uelewa kuhusu sekta ya mafuta, gesi

Mkuu wa Kitengo cha uhusiano na mawasiliano TPDC akitoa elimu kwa waandishi wa habari waliohudhuria semina. Picha na Ashura Ramadhani TPDC inaendelea kutekeleza majukumu yake katika kuhakikisha rasilimali za mafuta na gesi zinatumika kwa manufaa ya Watanzania na kuchangia ukuaji…

3 September 2026, 6:32 pm

TCB yatenga bil 15 ya mikopo kwa wafanyabiashara Geita

Wafanyabiashara wadogo na wa kati, wakulima pamoja na wachimbaji wa dhahabu wametakiwa kutumia mikopo hiyo kwa malengo yaliyokusudiwa Na Mrisho Sadick: Benki ya TCB imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 15 kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wafanyabiashara, wakulima na wachimbaji…

2 September 2026, 4:09 pm

Wananchi wadai kushambuliwa na fisi nyakati za usiku Ngoma

Wakati Serikali ikiendelea na jitihada za kukabiliana na fisi hao, wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari, ikiwemo kuepuka kutembea katika maeneo hatarishi nyakati za usiku. Na Mrisho Sadick: Wananchi wa Kata ya Ngoma B, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wameiomba Serikali kuingilia…

1 September 2026, 2:02 pm

Mkakati wa kuongeza uzalishaji wa zao la nyanya Geita

Mahitaji ya nyanya yamekuwa makubwa wilayani Geita huku wakulima wakitakiwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya mbogamboga hali ambayo itasaidia kuwawezesha wakulima kuongeza kipato na kukidhi mahitaji ya soko Na Mrisho Sadick: Wakulima wa mbogamboga wilayani Geita mkoani Geita wametakiwa kutumia…

1 September 2026, 1:40 pm

Madiwani Geita DC wacharuka ubovu wa barabara

Madiwani wameendelea kusisitiza kuwa hatua za haraka zinahitajika hususan kabla na wakati wa msimu wa mvua ili kuzuia barabara kukatika, kuathiri usafiri wa wananchi na kusababisha usumbufu katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Na Mrisho Sadick: Madiwani wa Halmashauri ya…

27 August 2026, 12:10 pm

Mwenge wa uhuru wazindua Hospital ya Gakala Mbogwe

Kwa mujibu wa Gakala lengo la mradi huo ni kuwawezesha wananchi wa Mbogwe na wilaya jirani kupata huduma bora za afya, zikiwemo huduma za kibingwa, bila kulazimika kusafiri umbali mrefu. Na Mrisho Sadick: Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru…

26 August 2026, 11:00 am

Daraja la Buziba Ilangasika lakamilika

Daraja hilo lina midomo tisa (9) na lina urefu wa mita 40 kukamilika kwake kumekuwa na manufaa makubwa kwa wananchi wa maeneo hayo. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kata ya Lwamgasa wilayani Geita wameipongeza Serikali kwa kukamilisha ujenzi wa Daraja…

22 August 2026, 1:07 pm

Polisi Jamii Run Club kuimarisha mahusiano na jamii Geita

Polisi Jamii ilianzishwa Agosti 25, 2006 na IGP Mstaafu Said Mwema kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya Jeshi la Polisi na Jamii ambapo maadhimisho hayo yameenda sambamba na zoezi la uchangiaji wa damu wa hiari. Na: Ester Mabula Jeshi…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.