Storm FM
Storm FM
15 July 2026, 1:52 pm
Hatua hiyo inaweza kusababisha kuziba kwa njia ya maji na kuongeza hatari ya mafuriko wakati wa mvua, jambo ambalo linaweza kuathiri makazi ya wananchi wanaozunguka eneo hilo. Na: Kale Chongela Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Malezi na Mazingira chama cha…
13 July 2026, 12:36 pm
Picha ya pamoja ya Jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani, wafanyakazi wa Blue Coast na bodaboda. Picha na Kale Chongela Kampeni hiyo ni sehemu ya jitihada za kampuni ya Blue Coast kwa kushirikiana Jeshi la Polisi kitengo cha usalama…
12 July 2026, 8:12 pm
Kukamilika kwa Kituo cha Afya Rwamgasa kunatarajiwa kuboresha upatikanaji wa huduma za afya, kupunguza vifo vinavyoweza kuzuilika, na kupunguza gharama pamoja na muda ambao wananchi walikuwa wakitumia kufuata huduma katika maeneo ya mbali. Na Mrisho Sadick: Wananchi wa Kata ya…
12 July 2026, 7:08 am
GGML Kili Challenge ilianzishwa mwaka 2001 na Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa lengo la kuchangisha fedha za kusaidia mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI nchini Tanzania. Na: Ester Mabula Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) umeendelea kushirikiana na Serikali…
10 July 2026, 7:10 pm
Muonekano wa Kituo cha mafuta Lake Energies kilivyo teketea kwa moto. Picha na Kale Chongela Chanzo cha moto huo kilitokana na gari aina ya Center lenye namba za usajili T799 BEB, ambalo lilikuwa limeingia katika kituo hicho kujaza mafuta. Na…
9 July 2026, 6:33 pm
Mradi huo unatarajiwa kukamilika hivi karibuni huku kukiwa na matumaini makubwa kwa wakazi wa wilaya hiyo juu ya mradi huo. Na Mrisho Sadick Kukamilika kwa mradi huo itakuwa fursa kwa wakazi wa wilaya hiyo Mradi wa Ujenzi wa Chuo cha…
6 July 2026, 7:59 pm
Kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kufanyika kwa maandamano nchini CCM imeendelea kuwataka kupuuza taarifa hizo zenye lengo la kuvuruga amani. Na Mrisho Sadick: Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Geita Andrew Mnunke amewataka wakazi wa…
6 July 2026, 3:52 pm
Changamoto ya walanguzi wa mazao kwenda moja kwa moja mashambani imegeuka mwiba mchungu kwa wakulima wilayani Mbogwe huku wakidai kupata hasara nakuiomba serikali kuingilia kati. Na Mrisho Sadick: Wakulima wa Kata ya Ilolangulu Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wameiomba Serikali…
3 July 2026, 1:04 pm
“Uwepo wa warsha hii ni miongoni mwa mikakati ya TAKUKURU katika kuimarisha ushirikiano na watekelezaji pamoja na wasimamizi wa miradi ya maendeleo ili kuziba mianya ya Rushwa inayorudisha nyuma maendeleo” – James Ruge Na: Ester Mabula Mkuu wa TAKUKURU Mkoa…
2 July 2026, 6:48 pm
Ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani, halmashauri imeweka mkakati wa kuwatambua wadaiwa sugu na kufuatilia malipo yao kwa wakati, sambamba na kuongeza uwajibikaji kwa watendaji wanaosimamia vyanzo vya mapato. Na Mrisho Sadick: Serikali mkoani Geita imeziagiza halmashauri zote za…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.