Storm FM

Recent posts

2 July 2026, 11:21 am

GGML yang’ara tuzo 2 za Rais, ikitambuliwa mlipakodi bora wa jumla

Mamlaka ya mapato nchini Tanzania ilianzishwa rasmi Julai 01, 1996 ambapo imetimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake kwa kufanya mambo mbalimbali kwenye jamii sambamba na kuwatambua walipa kodi wanaofanya vizuri. Na: Ester Mabula Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)…

30 June 2026, 4:09 pm

GGML yafadhili mapambano ya malaria Manispaa ya Geita

Jumla ya shilingi milioni 200 imetolewa na Mgodi wa GGML kupitia CSR kwa mwaka 2025/2026 ili kufanikisha utekelezaji wa mpango huo kwa kuzingatia vipengele vya uraghibishi, mafunzo kwa wakufunzi, mafunzo kwa watekelezaji na gharama za uendeshaji. Na: Ester Mabula Halmashauri…

29 June 2026, 5:07 pm

GGML yashiriki Tuzo za Business SDG Awards 2026

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeshiriki hafla ya utoaji wa Tuzo za Business SDG Awards 2026 kama mdhamini wa ngazi ya Dhahabu (Gold Sponsor), ikiungana na viongozi waandamizi wa Serikali na sekta binafsi. Na: Ester Mabula Hafla hiyo…

26 June 2026, 8:05 pm

Nyang’hwale yatoa milioni 211 kwa vikundi 32

Wilaya ya Nyang’hwale imeendelea Wilaya ya Nyang’hwale imeendelea kusisitiza umuhimu wa kutoa mikopo kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu ili kuimarisha uchumi Na Mrisho Sadick: Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Mkoani Geita Grace Kingalame ameziagiza taasisi nunuzi …

26 June 2026, 6:17 pm

TAKUKURU Geita yawafikisha Mahakamani watumishi 18 kwa ubadhirifu

Leo Juni 26, 2026 TAKUKURU imewafikisha mahakamani watumishi wapatao 18 kutoka katika halmashauri tano za mkoa mkoa wa Geita kutoka na makosa ya ubadhirifu. Na: Ester Mabula Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita imewafikisha Mahakamani…

26 June 2026, 2:34 pm

GGML yafadhili Tsh. Milioni 251 kuongeza uzalishaji wa samaki

Kampuni ya GGML imeendelea kuimarisha mahusiano na Jamii pamoja na serikali kwa kufadhili miradi mbalimbali ya CSR ambayo imetajwa kuendelea kuchagiza maendeleo ya mkoa wa Geita na Tanzania kwa ujuma. Na: Ester Mabula Kampuni ya Geita Gold Minning Limited (GGML)…

23 June 2026, 5:49 pm

Mimba za utotoni zawaibua wananchi kujenga shule

Mimba za utotoni na wanafunzi hususani wa kike kutembea umbali mrefu kwenda katika shule ya sekondari Kamena zimewaibua wananchi wa Ndelema kujenga shule yao Na Mrisho Sadick: Hofu ya kuongezeka kwa mimba za utotoni miongoni mwa wanafunzi wa kike katika…

22 June 2026, 8:30 pm

RC Geita akagua ujenzi wa Zahanati Nyabulolo na Imalampaka Geita DC

Mkuu wa Mkoa wa Geita akiwa katika Halmashauri ya wilaya ya Geita ametembelea nakukagua miradi mbalimbali ikiwemo ya afya na elimu ambapo ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi hiyo. Na Mrisho Sadick: Zaidi ya Shilingi milioni 259 zimetumika kwenye…

22 June 2026, 7:20 pm

Wananchi watakiwa kufanya mazoezi kuepuka magonjwa yasiyoambukiza Geita

Mazoezi ya mara kwa mara yana mchango mkubwa katika kupunguza hatari ya kupata magonjwa kama shinikizo la damu, kisukari, magonjwa ya moyo pamoja na unene uliopitiliza. Na Mrisho Sadick: Wananchi Mkoani Geita wamehimizwa kufanya mazoezi kuwa sehemu ya maisha yao…

22 June 2026, 5:41 pm

Mil. 300 kukarabati Nyankumbu huku uwanja wa Magogo kuanza kujengwa

Serikali mkoani Geita imevalia njuga suala la kuboresha miundombinu baada ya Geita Gold kupanda ligi kuu soka ya NBC Tanzania bara. Na: Ester Mabula Halmashauri ya Manispaa ya Geita Mkoani Geita imepanga kutumia zaidi ya shilingi milioni 300 kwa ajili…

STORM FM OVERVIEW

Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.

Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.

Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.

OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.

ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.