Storm FM

Kazi za sanaa zilivyomtoa kimaisha Allen

28 September 2023, 10:27 am

Allen Furaha Mushi Mjasiriamali kutoka Dar es salaam akiwa katika maonesho ya 6 ya kimataifa ya teknolojia ya madini

Kazi za sanaa zinapendwa zaidi na wageni kutoka mataifa mengine kuliko wazawa wa Tanzania, licha ya changamoto ya kutopata wageni wa mara kwa mara katika biashara yake Allen hakukata tamaa.

Na Zubeda Handrish- Geita

Kutana na Allen Furaha Mushi Mjasiriamali kutoka Dar es salaam ambaye amefika katika maonesho ya 6 ya kimataifa ya teknolojia ya madini kwaajili ya kujitangaza na kuuza bidhaa zake.

Ubunifu wa Mjasiriamali kutoka Dar es salaam, Allen Furaha Mushi akiwa katika maonesho ya 6 ya kimataifa ya teknolojia ya madini
Sauti ya Allen Furaha Mushi Mjasiriamali kutoka Dar es salaam akiwa katika maonesho ya 6 ya kimataifa ya teknolojia ya madini
Ubunifu wa Mjasiriamali kutoka Dar es salaam, Allen Furaha Mushi akiwa katika maonesho ya 6 ya kimataifa ya teknolojia ya madini

Moja ya changamoto aliyoipitia katika kazi hiyo ni wateja kutoelewa kazi hiyo ya sanaa kwa haraka wakidhani wageni pekee ndio wanapaswa kuvaa na kutumia kazi hizo.