Storm FM

Baba auza mbuzi nakutelekeza familia

4 May 2021, 6:39 pm

Na Mrisho Sadick:

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamme Mmoja katika Mtaa wa 14 Kambarage mjini Geita ameuza mashine na mbuzi za familia kisha kwenda kuoa Mwanamke mwingine.

Akizungumza na Storm FM Bi Hadija Mbita amesema kwasasa familia yake inakabiliwa na changamoto rukuki kutokana na baba wa familia hiyo kuitelekeza baada ya kuuza mashine na mbuzi wa familia hiyo nakwenda kuona mwanamke mwingine tangu mwaka 2017.

Bi Hadija – Mama wa Familia

Mwenyekiti wa Mtaa Maulid Mrisho akiwa katika familia iliyokimbiwa

Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa 14 Kambarage Maulid Mrisho amelaani kitendo hicho nakumtaka mwanaume huyo kurudi katika familia yake kuwasaidia mahitaji kwani wanakabiliwa na changamoto nyingi.

Mwenyekiti wa Mtaa