Storm FM

Ajibu maswali na kushinda Fiesta kondom na tisheti.

3 January 2022, 10:50 am

Na Mrisho Sadick:

Washindi wa kujibu maswali juu ya aina za kondom pamoja na matumizi yake sahihi wakikabidhiwa zawadi zao katika Bonanza la michezo mbalimbali la kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2022 lililodhaminiwa na Storm FM,  SML na Mcharo Entertainment katika Dimba la Shule ya Msingi Uwanja.