Storm FM
Storm FM
7 August 2026, 11:42 am

Kipindi hiki maalumu kinachoangazia masuala ya usawa wa kijinsia kinapewa nguvu na kwa Chama waandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Storm FM.
Na: Ester Mabula
Karibu kusikiliza kipindi kinachoangazia masuala mbalimbali yanayohusu usawa wa kijinsia kwa lengo la kuweka usawa wa kijinsia kwenye Nyanja mbalimbali ikiwemo kufanya maamuzi, usawa wa kumiliki ardhi, usawa katika nafasi za uongozi, usawa katika fursa za kiuchumi nk
Mada yetu kwa siku ya leo tumehoji juu ya uelewa wa Jamii kuhusu usawa wa kijinsia tukihoji JE UPI UELEWA WA JAMII JUU YA USAWA WA KIJINSIA?