Storm FM

Kipindi: Je Kauli/Agenda ya 50 kwa 50 inatekelezwa ipasavyo?

29 May 2026, 5:30 pm

Je usawa wa kijinsia unaendelea kutekelezwa kwa kuweka mgawanyo sawa wa haki kwa wanawake na wanaume?

Na: Ester Mabula

Karibu kusikiliza kipindi maalumu cha Usawa wa kijinsia ambacho kinaangazia masuala mbalimbali ikiwa ni mlinganisho wa upataji wa haki sawa kwa mwanamke na mwanaume katika Jamii.

Mada kuu leo tunahoji Je Agenda/Kauli ya 50 kwa 50 inatekelezwa ipasavyo?

Waandaji wa kipindi hiki ni Ester Mabula kwa kushirikiana na Amon Mwakalobo.

Sauti ya kipindi