Storm FM

Ufunguzi rasmi maonesho ya nne.

22 September 2021, 10:45 am

Na Mrisho Sadick:

Burudani zikiendelea katika viwanja vya Uwekezaji EPZ mjini Geita ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa anatarajia kuyazindua rasmi maonesho ya teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini hii leo.