Storm FM

Makala: Athari ya mvua zinazoendelea kunyesha Geita

3 May 2024, 8:20 pm

Mkazi wa mtaa wa Samina Geita mjini akiwa katika mtumbwi baada ya mvua kubwa kusababisha mafuriko katika. Picha na Mrisho Sadick

Karibu katika makala inayoangazia mvua athari zilizosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Geita ambapo mbali nakusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu ya barabara pia zimesababisha vifo hususani kwa watoto wadogo wanaoishindwa kujisaidia wenyewe.

Makala hii imeandaliwa na Mrisho Sadick nakuwasilishwa kwako na Adelina ukugani kwa niaba ya wote walioshiriki katika maandalizi haya.

Bonyeza hapa kusikiliza

Moja ya nyumba katika mtaa wa Mbugani Geita mjini iliyoathiriwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Geita. Picha na Mrisho Sadick

Moja ya nyumba katika mtaa wa Nyakabale Geita mjini iliyoathiriwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Geita. Picha na Mrisho Sadick