Storm FM

Makala: Tunawezaje kujenga jamii isiyokuwa na unyanyapaa dhidi ya watu ulemavu?

18 November 2026, 2:07 pm

Karibu kusikiliza makala ya Tafakari Pevu inayozungumzia tunawezaje kujenga jamii isiyokuwa na unyanyapaa kwa watu wenye ulemavu.

Ikichambua vikwazo wanavyokutana navyo katika matumizi ya usafiri wa kila siku na namna jamii inavyoweza kuwasaidia.

TAFAKARI PEVU huruka kila Jumanne saa moja asubuhi na kurudiwa kila Jumamosi saa nne asubuhi kupitia 88.9 Storm FM Sauti ya Geita, imeandaliwa na timu nzima ya Storm FM na kusomwa na Mrisho Sadick.

Usikose kufuatilia!

Sauti ya Makala ya Tafakari Pevu