Storm FM

Geita Gold FC mambo moto maandalizi ya msimu mpya

1 August 2023, 6:46 pm

Mchezaji wa Geita Gold FC Offen Chikola akiwania mpira. Picha na Geita Gold FC

Geita Gold FC imeweka kambi mkoani Morogoro ikiendelea na maandalizi ya msimu mpya wa Ligi 2023/24.

Na Zubeda Handrish- Geita

Mchezo wa kirafiki kati ya Geita Gold FC dhidi ya Kilombero Stars ulioanza majira ya saa 10:00 jion katika Dimba la CCM Ruaha, Morogoro umetamatika kwa wageni Geita Gold FC yenye maskani yake hapa mkoani Geita kuibuka na ushindi wa bao 3-0.

FT: Kilombero Combine 0 – 3 Geita Gold FC
Offen Chikola 7’34’
Hamissi Mkalla 48’

Mchezaji wa Geita Gold FC Offen Chikola akiwania mpira. Picha na Geita Gold FC