Storm FM

Aomba vifaa vya masomo.

22 September 2021, 9:39 am

Gideon Moses ni Kijana mwenye ulemavu wa viungo vya mwili ambaye anakula chakula kwa kutumia miguu ambaye anaishi Mtaa wa #Mwatulole pamoja na wazazi wake.

Mwenyekiti wa mtaa wa #Mwatulole Bw. Noel Ndasa amekiri kuwepo kwa mtoto huyo katika eneo lake na kwamba mara kadha amekuwa akiwatembelea ili kuweza kujua mwenendo wa hali yake.

Kwa mtu yoyote mwenye kuguswa unaweza kutuma mchango wa pesa kwa namba 0742 37 87 52.