Radio Tadio

afya

19 July 2024, 5:05 pm

Wakazi Narusunguti wilayani Bukombe wajengewa zahanati

Zaidi ya milioni 100 kutoka mfuko wa TASAF wilaya ya Bukombe zimesaidia ujenzi wa jengo la Zahanati ya kijiji cha Narusunguti kilichopo kata ya Busonzo hapa mkoani Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Ujenzi wa zahanati hiyo ni kufuatia adha…

July 3, 2024, 4:25 pm

Mzee wa miaka 78 ambaka binti mlemavu wa miaka 10

Baada ya mzee wa miaka 78 kumbaka binti wa miaka kumi mwenye ulemavu wilayani Babati mkoani Manyara jeshi la polisi limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo kutokana na matukio mengi kama hayo kutokea katika mkoa wa Manyara.   Na…

25 June 2024, 06:59

DC Songwe akemea wanaoendekeza ushirikina

Kutokana na changamoto za mmonyoko wa maadili ulimwenguni wakristo wameombwa kuendelea kuombea watu wanaojihusisha na vitendo vya kishirikina ikiwemo ubakaji watoto na ushoga. Na Ezra Mwilwa Mkuu wa wilaya ya Songwe Mhe. Solomon Itunda amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Songwe…

11 June 2024, 11:26

Askofu Pangani:lindeni amani ya kanisa na Taifa

Kila mwananchi anawajibu wa kuendelea kulinda taifa lake kwa kulinda amani, kuanzia katika ngazi ya familia Na Hobokela Lwinga Askofu wa kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mhashamu Robert Pangani amewataka wakristo wote kuilinda Amani ya kanisa na…

May 16, 2024, 6:09 pm

Mgogoro wa miaka 25 soko la Magwanji Kahama watatuliwa

Na Neema Nkumbi- Huheso Fm Wakazi wa Mtaa wa Nyakato, Kata ya Nyasubi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wameishukuru serikali ya Mtaa huo, kwa kumaliza mgogoro wa soko la Magwanji uliodumu kwa Zaidi ya miaka 25 uliokuwa ukikwamisha kuanza…

9 May 2024, 3:04 am

Wakazi wa kijiji cha Nyakayondwa hawana zahanati

Vituo vya afya na zahanati ndizo ngazi za kwanza za afya zinazoigusa jamii moja kwa moja. Licha ya serikali kuweka mpango wa kurahisisha huduma za afya kwa kuboresha miundombinu, kwa wakazi wa kijiji cha Nyakayondwa bado ni kitendawili. Na: Evance…

20 March 2024, 4:51 pm

Wazazi wahimizwa kutoa michango ya shule kwa wakati.

Kikao cha wazazi na uongozi wa shule wa msingi Terrat Wilaya ya Simanjiro kimeazimia kushirikiana kuhakikisha kutatua changamoto zilizopo shuleni hapo ikiwepo tatizo la upungufu wa walimu. Na Joyce Elius, Terrat. Kikao hicho kilichofanyika tarehe 19.03.2024 kimeongozwa na Mwalimu Mkuu…