
Recent posts

21 June 2025, 5:36 pm
Nyumba ya milioni 73 yateketea kwa moto Maswa
“Tuendelee kuwakumba wenye uhutaji katika kurudisha faraja kutokana na familia hizo kupitia kwenye changamoto kwa kipindi hicho na hii ni ibada kubwa sana kwa Mungu wetu kwa kutoa sadaka kwa wenye changamoto mbalimbali”. Na, Daniel Manyanga Jamii wilayani Maswa mkoani…

19 June 2025, 4:54 pm
Shule bora Bariadi yaongeza ufaulu wa wanafunzi
“Elimu ni urithi pekee ambao mtu hawezi kuporwa na mtu yeyote hivyo tuwekeze elimu kwa watoto wetu bila kujali kuna ajira au hakuna ajira maana huu ni ujuzi wake ambao utakuja kumsaidia katika maisha ya hapa duniani”. Na, Daniel Manyanga …

18 June 2025, 9:43 pm
Eguity Bank kupiga jeki ununuzi zao la pamba Maswa
Hamasa ya ulimaji wa zao la Pamba wilayani Maswa mkoani Simiyu huenda ukaongezeka kufuatia ongezeko la uwekezaji wa viwanda vya kuchakata na kuchambua mali ghafi ya zao la Pamba mkoani hapa. Na,Alex Sayi Bank ya Eguity imejitanabahisha kufanya mapinduzi…

18 June 2025, 2:43 pm
Bifu la Mpina na Bashe, Rais Samia apigilia msumari
Maombi hayo kuyaleta mbele ya Rais ni kujitafutia umaarufu na kudhibitisha mbunge hakulifanyia haki jimbo lake ” Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Meatu-Simiyu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia suluhu Hassani ameonyesha kukerwa na…

17 June 2025, 5:34 pm
Kiwanda cha Bio-sustain kuzalisha ajira zaidi ya 800 Wilayani Meatu
Maelekezo ya Mh Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha Wizara inatengeneza Mazingira mazuri ya Uwekezaji na ufanyaji Biashara Imeelezwa kuwa zaidi ya ajira 350  za moja kwa moja kwa wazawa na zingine 800 zisizo za moja kwa moja zitazalishwa kutoka kiwanda …

17 June 2025, 8:34 am
Dkt.Samia arejesha kicheko kwa wakulima wa pamba
“Tunapandisha zao moja baada ya jingine niseme tu kuwa zao la pamba ni wapo ya mkakati uliyopo katika kuleta uhalisia wa gharama anazotumia mkulima ili uchumi wa mtu mmoja mmoja na mkoa wa Simiyu uweze kukua na kuongeza hali ya…

16 June 2025, 2:40 pm
Watoto waomba sheria kali itungwe kwa mzazi anayefanya ukatili Maswa
“Tuwalinde ,tuwapende ,tuwatimizie mahitaji ya msingi watoto wetu hii ni njia pekee ya kukomesha ukatili kwa watoto hivyo kumaliza changamoto ya watoto mitaani ambao baadae hujeuga na kuwa wezi,vibaka na chokoraa tukifanya hivyo kila mzazi au mlezi kwa nafasi yake…

14 June 2025, 12:00 pm
Makala kuhusu Huduma za Afya
Huduma za Afya zilivyoboreshwa katika Zahanati ya Bulima iliyopo Wilaya ya Kishapu Mkoa wa Shinyanga baada ya Wananchi Kuibua changamoto za Uhaba wa Watumishi, Masuala ya wagonjwa kuombwa Rushwa na Lugha chafu zilizokuwa zinatolewa na Watoa Huduma kwa Wagonjwa. Baadae…

14 June 2025, 10:09 am
Bodaboda Maswa wakiri kutozijua sheria za barabarani
Imebainishwa kuwa ongezeko la ajali za barabarani wilayani Maswa mkoani Simiyu,umetajwa kusababishwa na waendesha bodaboda wasiojua sheria za usalama barabarani hali iliyomlazimu mkuu wa Wilaya hiyo kukutana na bodaboda hao. Na Alex Sayi Baadhi ya waendesha bodaboda wilayani Maswa mkoani…

13 June 2025, 5:06 pm
DC Maswa atangaza kiama kwa wakopeshaji wasiokuwa na kibali cha BoT
“Hatuwezi kuwavumilia watu au taasisi ya mikopo inayowakandamiza wakopaji kwa kuwatoza riba kubwa ya marejesho na kwa muda mfupi sana ambapo ni kinyume cha sheria na taratibu za mikopo kulingana na vibali vya benki kuu ya Tanzania BOT hivyo lazima…

12 June 2025, 5:42 pm
Simbachawene hakuna rushwa kubwa wala ndogo wote wanamakosa
“Rushwa ni adui wa haki na maendeleo kahuna rushwa kubwa wala ndogo nendeni tukawahudumia wananchi walio na changamoto za kunyanyaswa na watu wanaotumia madaraka kwa kuwakandamiza watu ambao walitakiwa wapewe haki hakuna aliye mkubwa zaidi ya sheria na katiba ya…

10 June 2025, 10:24 am
MEK wapigwa msasa kuwatambua wenye mahitaji maalum Bariadi
“Hakuna sheria inayobagua watoto kutokana na mapungufu ya kimaumbile, binadamu wote kwa Mungu wetu sote tupo na haki hivyo ni wakati sasa kwa jamii kuachana na imani kuwachukulia watoto wenye mahitaji maalum kama vile ni mkosi, tuwapatie mahitaji yao kama…

5 June 2025, 8:59 pm
Askofu Sangu aomba ukarabati wa barabara ya Bariadi-Nkololo
“Hakuna maendeleo ya vitu kama watu wako hawana miundombinu rafiki ya barabara maana ndiyo njia Kuu ya wananchi kupiga hatua kimaendeleo maana wakipata shida ya kiafya watawahi kwenye matibabu lakini hata biashara itakuwa katika maeneo husika”. Na, Daniel Manyanga Askofu…

5 June 2025, 9:15 am
DC Maswa atahadharisha Madiwani figisu za Ununuzi wa Pamba
Diwani ni haki yake kufanya biashara ya Ununuzi wa Pamba kwasababu pamba siyo shughuli ya Halmashauri kwahiyo hakuna mgogoro wa kimasirahi kwa diwani kununua Pamba, Lakini sitavumilia Diwani atakayefanya hujuma katika ununuzi wa Pamba mimi Nitakuning’iniza tu “Mhe Dkt Vicent…

4 June 2025, 8:25 pm
TAKUKURU yabaini milioni 26 kuliwa na viongozi wa AMCOS Simiyu
“Rushwa ni adui wa haki na maendeleo lazima kwa nguvu zote viongozi waipinge rushwa maana leo utaona kuna watu wachache wasiokuwa waadilifu wanatumia turufu ya uongozi wao kupora haki za watu kujilimbikizia mali ambazo ni wizi na kuwanyima watu ambao…

29 May 2025, 12:19 pm
UVCCM Bariadi yarudisha furaha kwa wagonjwa
‘‘Ni kweli bado jamii yetu inakabiliwa na changamoto mbalimbali zipo familia zenye uwezo wa kiuchumi lakini hizi ambazo hazina uwezo wa kimaisha tunawezaje kuzisaidia ili nazo ziweze kupata furaha hili ni jambo tunaweza kulifanya tu endapo watu wenye uwezo mkubwa…

28 May 2025, 7:51 pm
TAKUKURU Simiyu yaokoa bilion 6 kwenye sekta ya elimu
“Kumaliza rushwa hapa nchini ni changamoto kubwa sana maana hata watumishi umma waliokula kiapo cha uaminifu ndiyo wanakuwa watu na viongozi wa kwanza katika kutekeleza ubadhilifu wa mali za umma halafu hao hao ndiyo wanahimiza uzalendo haya ni maajabu kweli”.…

27 May 2025, 11:19 am
Sangamwalugesha yaomba kujengewa soko la kisasa
“Uchumi wetu unajengwa na wajasiliamali wadogo wadogo hivyo tuna kila sababu kwa mamlaka husika kuwatengenezea mazingira mazuri ya wao kufanya biashara ikiwemo miundombinu ya masoko pamoja na kuangalia tozo ambazo hazina afya kwa wafanyabiashara”. Na, Daniel Manyanga Kukosekana kwa soko…

24 May 2025, 8:25 pm
Wananchi wa Mwamashindike walia na ubovu wa barabara
“Sekta ya miundombinu ya barabara ni Moja kati ya ajenda muhimu Sana kwa ustawi wa jamii yetu maana ndiyo inayotumika kusafirishia mazao mbalimbali kutoka huko kijijini kuja sehemu za masoko lakini ikitaka kufungua uchumi wako lazima Kwanza ufungue barabara zako…

22 May 2025, 2:02 pm
Wananchi Maswa watoa kilio kwa DC Anney
Migogoro mingi ya Wanandoa inasababishwa na kutokuandika Wosia inapotokea mume amefariki Dunia ndugu wa mwanaume wanakuja juu na kumdhurumu mali mjane aliyeachwa na marehemu wakati mali hizo wamezitafuta wawili hao. ” Dc Dkt Vicent Anney “ Wananchi wa kata za …