Sibuka FM

Mawakala wa usafirishaji  waitaka halmashauri kuboresha stendi Maswa

4 July 2023, 11:37 am

Baadhi ya wafanyabiashara na wasafirishaji wakifanya usafi eneo la stendi Maswa. Picha na Alex Sayi

Na Nicholaus Machunda

Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa Usafirishaji mjini hapa ameutaka uongozi wa halmashauri wilayani Maswa mkoani Simiyu kuhakikisha wanaboresha miundombinu maeneo ya stendi mpya.

Hasani Bunango – mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa usafirishaji

Suala la usafi ni wajibu wa  kila mtu

Baadhi ya wafanyabiashara wanaofanya biashara kwenye eneo hilo la stendi wamezungumzia hali ilivyo kwenye stendi hiyo, huku mwenyekiti wa kitongoji cha Stendi Mpya akilazimika kuchukua uamuzi wa kukifunga kwa muda choo cha stendi.

Baadhi ya wafanyabiashara na mawakala eneo la stendi

Afisa Mazingira wilaya ya Maswa Budodi Walya amezungumzia suala hilo na kusema kuwa suala la usafi ni wajibu wa  kila mtu..

Budodi Walwa – Afisa Mazingira Maswa

Abruzack Msuya Mwenyekiti wa kitongoji cha Stendi Mpya amesema kuwa  kulingana na uchakavu wa Stendi hiyo melazimika kuwahamasisha wafanyabiashara kunyanyia usaf eneo hilo.

Abruzack Msuya -Mwenyekiti wa kitongoji cha Stendi Maswa