On air
Play internet radio

Recent posts

12 November 2024, 4:52 pm

Maswa: Zaidi ya milioni 300 kunufaisha wanawake, vijana na walemavu

“Katika kupambana na umasikini nchini kupitia asilimia kumi ya mapato ya ndani ya halmashauri kundi la wanawake,vijana na watu wenye ulemavu wameendelea kunufaika kiuchumi.” Na, Daniel Manyanga Zaidi ya milioni miatatu zitokanazo na makusanyo ya ndani zimetangwa na halmashauri ya…

8 November 2024, 4:00 pm

Maswa:Kanda ya ziwa kinara kwa uharibifu wa mazingira

“Wakati dunia inapambana na mabadiliko ya tabia nchi utokanao na uharibifu wa mazingira haswa katika matumizi ya nishati ya kuni na mkaa kanda ya ziwa kinara kwa uharibifu wa mazingira”. Na, Daniel Manyanga Zaidi ya hekta laki nne hupotea nchini…

7 November 2024, 11:08 am

Maswa: Wanawake na Samia waaswa kutumia nishati safi yakupikia

Matumizi ya nishati safi yakupikia inatajwa kuwa ni mwarobaini wa kukabiliana na uharibifu wa mazingira,huku ikitajwa kuwanufaisha wanawake Mkoani Simiyu kwakuokoa gharama,muda na maradhi yanayotokana na matumizi ya mkaa na kuni Na,Alex Sayi Wanawake na Samia mkoani Simiyu wameaswa kuunga…

7 November 2024, 9:23 am

Maswa:Wanawake wahimizwa kuchota mafedha Halmashauri

Wakazi wilayani Maswa Mkoani Simiyu mbioni kunufaika na mikopo ya 10% inayotengwa na Halmashauri kutoka kwenye mapato yake ya ndani baada ya Serikali kusitisha zoezi hilo toka April,2023/2024. Na,Alex Sayi Wanawake na  Samia wilayani Maswa Mkoani Simiyu wamehamasishwa kuchangamkia fursa…

6 November 2024, 5:48 pm

Bilioni 440 kumtua mama ndoo kichwani Simiyu

“Uhai ni maji na wanasayansi wanasema robo tatu ya dunia na mwili wa binadamu ni maji kwa kulitambua hilo wananchi waipongeza serikali kwa miradi ya maji”. Na, Daniel Manyanga Wananchi mkoani Simiyu wanaopata maji kwa kusuasua kutokana na kukosa vyanzo …

24 October 2024, 11:04 pm

Wanafunzi Masela sekondari wafundwa  elimu ukatili wa kijinsia

Jamii ya watanzania imeendelea kukumbushwa kuchukua tahadhari juu ya matukio ya ukatili wa kijinsia,kwakutoa taarifa nakuendelea kuwaelimisha watoto walio majumbani na wanafunzi ili kuwanusuru watoto hao na athari za ukatili wa kijinsia. Na,Alex Sayi. Wanafunzi wa shule ya sekondari Masela…

2 October 2024, 3:33 pm

Mchungaji awa mpiga ramli chonganishi kwa waumini wake Maswa

“Watu kwenda kanisani kuombewa kutokana na changamoto zao siyo dhambi lakini hatuwezi kuwafumbia macho baadhi ya watumishi wa Mungu ambao wanageuka kuwa wachonganishi kama na wao waganga wa kienyeji ambao wanatumia ramli chonganishi, twendeni tukafanye kazi ya Mungu na siyo vinginevyo.”…

27 September 2024, 11:06 pm

Wananchi Maswa walalamikia umeme kufika maeneo ya mijini tu

“Unakuta meme umefika maeneo ya sentani tu halafu sisi tuliopo pembezoni hatupati tunaambiwa tu mradi unaishia hapo kwani sisi wa pembezoni hatustahili kupata huduma ya umeme?“ Wananchi wa kijiji cha Mwakabeya   kata  ya  Ipililo  Wilayani  Maswa  Wamelalamikia Huduma  ya  Umeme  kufika  kwenye  Senta …

27 September 2024, 8:49 pm

RC Kihongosi aonya wanaotoa taarifa za   taharuki kwa jamii

Wananchi wilayani Maswa zipuuzeni taarifa za watoto kutekwa na kutolewa figo, hao ni wapotoshaji tu wenye lengo la kuondoa amani ya taifa letu. Mkuu  wa  Mkoa  wa  Simiyu  Mh  Kenani  Laban  Kihongosi   ameonya  watu  wanaoeneza  taarifa  za  Taharuki  za  Watoto …

19 September 2024, 5:25 pm

Ripoti ya mkaguzi wa hesabu za ndani kuamua malipo ya wenyeviti Maswa

“Katika kuhakikisha madeni yote yanalipwa kwa wadai wote halmashauri ya wilaya ya Maswa imesubiria ripoti ya mkaguzi wa hesabu za ndani ili wenyeviti wapate haki zao”. Na, Daniel Manyanga Wajumbe wa mamlaka ya mji mdogo wa Maswa mkoani Simiyu ambao…

18 September 2024, 4:55 pm

RC Kihongosi amwaga fedha kwa bodaboda wa Nyashimo Busega

“Mchango wa maendeleo na kupunguza wimbi la ajira umekuwa mkubwa sana kwa Taifa kutokana na baadhi ya vijana kujiajiri wao wenyewe kupitia bodaboda hivyo kujiongezea kipato“. Na, Daniel Manyanga Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Kenani Kihongosi ametoa kiasi cha fedha milioni…

16 September 2024, 7:00 pm

World Vision yawapiga msasa wajumbe wa kamati ya maafa Maswa

“Katika kukabiliana na maafa mbalimbali hapa nchini shirika lisilo la kiserikali la World vision limeendesha mafunzo kwa kamati za maafa ili kuongeza ufanisi wa kiutendaji wakati ,kabla na baada ya maafa”. Na, Daniel Manyanga Kamati za Maafa za wilaya zimetakiwa…

4 September 2024, 4:08 pm

DC Maswa awaita wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

“Uboreshaji wa taarifa katika daftari la kudumu la wapiga kura ni msingi mmoja wapo wa kupata viongozi bora kwa mustakabali wa Taifa letu hivyo ni muhimu kushiriki zoezi hilo.” Na , Daniel Manyanga Mkuu wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu…

1 September 2024, 6:11 pm

Takukuru Simiyu  ilivyorejesha  Furaha  ya  Wananchi  Wilayani  Itilima

Na Nicholaus Machunda Taasisi  ya  Kuzuia  na  Kupambana  na  Rushwa  Takukuru  Mkoa  wa Simiyu imefanikiwa  kurejesha  furaha  ya Wananchi  wa  Wilaya  Itilima  baada  ya   kufuatilia   Mradi  wa  Maji   katika  kijiji  cha  Ng’wang’wita  uliotoa  Huduma  ya  Maji  kwa  Mwezi  mmoja  tu …

29 August 2024, 8:13 pm

NEC: Maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata wala kiapo Maswa

Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025,Tume huru ya taifa ya uchaguzi imeendelea na zoezi la utoaji wa mafunzo kwa maafisa waandikishaji ngazi ya jimbo,maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya jimbo na maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya  kata…

26 August 2024, 5:19 pm

NEC yawaomba wananchi Simiyu  kujitokeza kuboresha taarifa zao

Tume huru ya uchaguzi imewataka wananchi mkoani simiyu kujitokeza kwa wingi kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga kura, ili wawe na sifa za kushiriki uchaguzi ujao. Akizungumza katika  Mkutano  huo   uliowakutanisha wadau mbalimbali mhe. Jaji mustaafu MBAROUK…

16 August 2024, 11:33 am

Wahandzabe Meatu wanavyotumia king’amuzi cha ndege pori kuipata asali

Wandzabe walia na Sheria za usimamizi wa wanyama pori na mapori tengefu kuwa zimechangia kuhafifisha usitawi wa jamii hizo na kusababisha hatari ya kutoweka kwa jamii hizo zinayoishi porini. Na,Alex Sayi. Jamii ya kihandzabe imebainisha kuwa kwa miaka nenda rudi…

15 August 2024, 10:40 am

Wananchi  Maswa  watoa Maoni  kuhusu  Dira ya Maendeleo  2025- 2050

Wananchi  Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu  wamepaza  sauti   zao  na  kutoa  Maoni  juu  ya  Dira  ya  Maendeleo ya  Taifa  ya  2025 – 2050  wakati  wa  Kikao  cha  Kamati  ya  Ushauri  ya   Wilaya – DCC   kilichofanyika  katika  Ukumbi  wa  Halmashauri  ya  Wilaya …