Sibuka FM

Mwezi wa Afya na Lishe

4 July 2023, 3:00 pm

Afisa lishe Halmashauri ya wilaya ya Maswa Bi, Nuru Fadhili akitoa Elimu kuhusu Umuhimu wa Lishe kwa watoto wenye Umri chini ya Miaka Mitano

Wazazi wameaswa kuwapeleka watoto wote kupata dawa za minyoo na matone ili kuwakinga na magonjwa yanayotokana na upungufu wa lishe.

Afisa lishe amesema hayo wakati akitoa elimu kwa Jamii katika mwezi wa Afya na lishe zoezi linalofanyika mara mbili kwa mwaka.