Radio Tadio

Maji

16 April 2024, 4:00 pm

Amuua mke kisa wivu wa kimapenzi

Matukio ya kujeruhi na kuua wenza wao yamezidi kushamili katika maeneo ya Kanda ya ziwa hasa katika wilaya ya Sengerema ambapo zaidi ya matukio matano yameripotiwa kutokea ndani ya miezi mitatu. Na:Said Mahera Mwanamme mmoja aliyejulikana kwa jina la Jackson…

6 February 2024, 7:01 pm

Wananchi Hanang walalamikia maji

Wananchi wa kata ya Maskata wilayani Hanang waiomba serikali kurejesha miundombinu ya maji. Na Mzidalfa Zaid Wananchi  wa kijiji cha Lambo kata ya Maskata wilayani Hanang mkoani Manyara wamelalamikia changamoto ya maji katika kijiji hicho ambapo wamesema walipata huduma ya…

31 January 2024, 08:39

Wizara ya Maji yaishukru UNICEF

Na Ezekiel Kamanga Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amefanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake na Watoto Duniani (UNICEF) nchini Tanzania Bi. Elke Wisch. Mazungumzo yamefanyika katika ofisi za…

25 January 2024, 16:04

Bilioni 30 kutumika mradi wa maji wa miji 28 Kasulu

Zaidi ya bilioni 30 zimetengwa na Serikali katika halmashauri ya mji kasulu kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji wa miji 28 kasulu mjini ambao unajengwa kata ya kumnyika katika halmashauri hiyo. Michael Mpunije Kutoka Wilaya ya Kasulu ametuandalia…

23 January 2024, 8:00 pm

Aweso aitaka Duwasa kumaliza tatizo la maji UDOM

Kwa mujibu wa makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma UDOM anasema chuo hicho kinakadiriwa kuwa na wanafunzi takribani elfu 36 hivyo kuchangia ongezeko la uhitaji wa huduma ya maji katika chuo hicho. Na Thadei Tesha.Waziri wa maji mh Juma…

20 January 2024, 9:48 am

Mradi wa Kata 5 kunufaisha watu zaidi ya laki moja Geita

Serikali imedhamiria kumaliza changamoto ya maji kwa kuendelea kutekeleza miradi mikubwa ya maji hususani vijijini. Mrisho Shabani: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 10.8 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji wa…