Radio Tadio

Maji

16 January 2024, 12:43 pm

Upatikanaji wa maji Bunda kufikia 92% mwaka huu

Mamlaka ya maji Bunda BUWASSA imesema miradi yote ya maji inayotekelezwa mjini Bunda ikikamilika itafanya upatikanaji wa maji mjini Bunda kufikia asilimia 92. Na Adelinus Banenwa Mamlaka ya maji Bunda BUWASSA imesema miradi yote ya maji inayotekelezwa mjini Bunda ikikamilika…

3 January 2024, 10:27 am

Zaidi ya vijiji 5 maji ni changamoto Geita

Vijiji vitano vya kata ya Bukondo mkoani Geita havina huduma za maji huku zahanati ya Bukondo inayohudumia vijiji vitano katika kata hiyo ikiwa na watumishi wawili tu. Na Zubeda Handrish- Geita Wananchi wa kata ya Bukondo mkoani Geita wamemweleza changamoto…

27 December 2023, 20:03

Kyela:Serikali kumtua ndoo mwanamke Kyela

Jumla ya shilingi bilioni nne zimetolewa na serikali ya Tanzania kwa wananchi wilayani Kyela ili kukamilisha mradi wa ujenzi wa mtandao wa maji safi na salama kutoka halmashauri ya Busokelo. Na Masoud Maulid Wananchi wilayani Kyela wameanza kuwa na matumaini…

16 December 2023, 12:01 pm

DC Maswa: Wananchi tunzeni vyanzo vya maji

Wadau wa maji na Wananchi watakiwa kutunza vyanzo vya maji ili kuweza kukabiliana na ukame unaosababishwa na shughuli za kijamii pamoja na mabadiliko ya tabia nchi Na Daniel Manyanga Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Mhe.Aswege Kaminyoge amewataka Wananchi…

29 November 2023, 8:08 am

Tume kuundwa kufatilia miradi ya maji jimbo la Bunda

Naibu Katibu mkuu wizara ya maji Mhandisi Mwajuma Waziri ameagiza kuundwa kwa tume maalum ya kufuatilia miradi yote ya maji jimbo la Bunda ambayo inaonekana kukamilika wakati huo hakuna huduma yoyote ya maji. Na Thomas Masalu Naibu Katibu mkuu wizara…

28 November 2023, 16:25

Serikali yajipanga kutatua changamoto ya maji mkoani Songwe

Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi,amesema kuwa serikali inatekeleza miradi nane yenye thamani ya sh. Bilioni 13.3 kwa ajili kutoa huduma ya maji kwenye Vijiji 22 katika Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe. Mhandisi Mahundi ameeleza hayo…