Maji
8 September 2026, 17:50
Kikosi kazi chapitisha mpango wa kukomesha biashara haramu ya binadamu
“Hakuna aliye juu ya sheria za nchi kila mtu yupo chini sheria na katiba ya nchi hivyo biashara haramu lazima zikomeshwe kwa namna yoyote ile katika jamii zetu na wahusika wachukuliwe hatua kali zaidi za kisheria “. Na ,Anita Balingilaki…
28 August 2026, 3:32 pm
Simanjiro watakiwa kufuata misingi bora ya kilimo kupata mavuno mengi
Afisa Kilimo kutoka Wilaya ya Simanjiro, Jenifar Mbuya, amewataka wakulima mkoani humo kufuata kanuni na misingi bora ya kilimo ili kujiwekea mazingira ya kupata mavuno mengi na yenye tija. Na Dorcas Charles Akizungumza na Mwandishi wetu Dorcas Charles amesema taratibu…
26 August 2026, 11:49 am
Jamii yashauriwa kutumia mifuko ya ‘kinga njaa’ kuhifadhi chakula sa…
Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro imewataka wananchi na wakulima wilayani humo kutumia njia salama na zilizothibitishwa katika kuhifadhi mazao ya chakula, hususan yale yanayotengwa kwa ajili ya matumizi ya familia, ili kuepuka madhara ya kiafya yanayoweza kusababishwa na matumizi yasiyo…
23 August 2026, 06:19
Magereza waacha tabasamu kwa watoto njiti
“Magereza siyo sehemu ya mateso kama ambavyo watu wengi wamekaririshwa na baadhi ya watu hapa ukija kama mfungwa siku unaachiwa unatoka na ujuzi ambao utakusaidia huko maana yake hii ni sehemu kurekebisha tabia na kupatiwa ujuzi”. Na Daniel Manyanga Katika…
21 August 2026, 20:45
Watoto wawili wa familia moja wafariki kwa kifusi, mmoja aokolewa
Mzazi ni mlinzi wa kwanza kwa watoto katika kuhakikisha yupo salama sasa haiwezekani mzazi hujuwi mwanao anashinda wapi na anacheza katika mazingira yapi”. Na,Daniel Manyanga Watoto wawili wa familia moja waliokuwa wakiishi katika mtaa wa mji wa zamani kata na wilaya…
21 August 2026, 14:26
Miaka 20 ya polisi jamii yaacha faraja kwa wagonjwa Maswa
“Wananchi wasituone kama maadui wao kama wanavyotafsiri watu wengine polisi na raia ni ndugu hakuna utofauti wowote hata polisi ni kazi tu lakini kuna siku atasitaafu kazi na kurudi kwenda kuishi na wananchi wa kawaida”. Na,Daniel Manyanga Katika kuadhimisha miaka…
19 August 2026, 06:08
DC Simalenga atangaza usafi wa mji, ataka kuundwa vikundi
“Tunahitaji kuuweka mji wetu katika mazingira ya usafi ili kulinda heshima tuliyopewa ya mji hivyo kila mtumishi wa umma na wananchi kwa ujumla tunao wajibu wa kuufanya mji wetu kuwa safi majira yote na hii itasaidia sana katika mapambano ya…
15 August 2026, 14:31
MV Liemba yafanya majaribio ziwa Tanganyika
MV Liemba, ambayo imekuwa sehemu muhimu ya historia ya usafiri katika Ziwa Tanganyika, inatarajiwa kurejea katika huduma ikiwa ni hatua muhimu katika juhudi za serikali kuimarisha usafiri wa majini nchini. Na Mwandishi wetu Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema…
11 August 2026, 7:05 pm
Jumuiya ya wazazi yawaonya wanaotumikisha watoto migodini
Kikao hicho kimeweka mkakati wa kuhakikisha watoto wenye umri wa kwenda shule wanapata haki yao ya msingi ya elimu mkoa wa Geita Na Mrisho Sadick: Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita imewaonya baadhi ya wazazi…
8 August 2026, 13:51
Wito umetolewa kwa makanisa kuhubiri upendo kwa wajane
“Tunahitaji kutiana moyo kwa mambo yote ili kuendelea kulitangaza neno la Mungu kwa mataifa yote bila kujali hali zetu za kimwili”. Na,Daniel Manyanga Wito umetolewa kwa kanisa la waadventista wasabato nchini kuwatambua wamama wajane(wamama majasiri) kwa kuwasaidia vitu mbalimbali ikiwa…