Maji
2 March 2026, 12:15
Hatma ya 50 kwa 50 kwa wanawake kwenye siasa ifikapo mwaka 2030
Na Rajabu Mrope Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, mwaka 2010, wagombea wanawake wa ubunge wa majimbo walikuwa 12.4 mwaka 2015 ilikuwa 2% na mwaka 2020 ni 27.6% na mwaka 2025 asilimia 32.17%. Idadi wagombea inaonesha mwendelezo…
24 February 2026, 11:38
Kituo cha kupozea umeme suluhisho sahihi kwa wakazi wa Simiyu
“Tunahitaji kuwa na umeme wa uhakika ili kuvutia wawekezaji wakubwa kwenye viwanda maana hatuwezi kuwa na wawekezaji wakubwa wakati huo hatuna umeme wetu wa uhakika lazima sasa juhudi zifanyike kwa namna yoyote ile”. Na,Daniel Manyanga Wakazi wa mkoa wa Simiyu…
19 February 2026, 15:44
Ukarabati MV Liemba wafikia asilimia 55 Kigoma
Serikali kupitia Wizara ya uchukuzi imesema haitosita kuchukua hatua za kisheria kwa wasimamizi wanaopewa dhamana ya kusimamia miradi ya maendeleo ambao wanashindwa kuendana na kasi ya serikali katika utekelezaji na ukamilishaji wa miradi kwa wakati Na Tryphone Odace Naibu Waziri…
19 February 2026, 13:03
Jeshi la zimamoto na uokoaji lapata mtambo wa kisasa
“Kuna wilaya zingine hazina hata gari la zimamoto la kisasa kama hili lenye uwezo mkubwa wa kubeba tani tano lakini sisi tumepata lazima tukatunze sana huo mtambo ili uwasaidie wananchi panapotokea changamoto ya moto tuweze kuzima ili kuzuia madhara kwa…
18 February 2026, 10:41
Watatu wanusurika kufa moto kufuatia nyumba kuungua Bariadi
“Kuna majanga ambayo hanaweza kuzuilika kama tu tukiwa na utamaduni wa kuangalia mara kwa mara mfumo wa umeme wa majumbani ili kutatua changamoto za kuunguliwa kwa nyumba.” Na,Daniel Manyanga Watu watatu wa mtaa wa Kidinda wilayani Bariadi mkoani Simiyu wamenusurika…
17 February 2026, 15:45
Baraza la madiwani Maswa lapitisha bil. 51 mwaka 2026/27
“Tunahitaji kuona miradi inayotekelezwa iwaguse moja kwa moja wananchi katika kuleta maendeleo kwenye maeneo yao ili kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja kutokana na shughuli anayoifanya”. Na,Daniel Manyanga Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu…
16 February 2026, 13:14
Maji ya kemikali ya kiwandani yaleta taaruki kwa wakazi wa Isanga
“Kwani sheria zetu zipo kwa ajili ya kumuhukumu nani kama kuna watu hadi leo wanatumia vibaya mamlaka na utajiri wao kuwaumiza wananchi wengine ambao hata hawana wanalolijuwa juu ya utajiri wako .” Na,Daniel Manyanga Hali ya wasiwasi na hofu kubwa…
15 February 2026, 12:44 am
Diwani kata ya Ichwankima ahimiza umoja
“Maendeleo ya kata yetu yanahitaji umoja na ushirikiano na tuweke makundi pembeni, na mimi nawahakikishia nitakuwa kiongozi wa wote bila kumbagua mtu” – Diwani Kulwa Ludaho Na: Ester Mabula Diwani wa Kata ya Ichwankima wilayani Chato, mkoani Geita, Kulwa Elias…
13 February 2026, 15:21
Wandishi wa habari waombwa kuwa sehemu ya mabadiliko ya tabianchi
“Tunamatumaini makubwa kutoka kwenu ya kuleta chachu ya mabadiliko ya tabianchi jamii ifahamu madhara yake na namna ya kukabiliana na mabadiliko hayo”. Na,Anita Balingilaki Mabadiliko ya tabianchi ambayo yamekuwa chanzo kikubwa cha kusababisha mafuriko na ukame kwenye maeneo mbalimbali yanatajwa…
13 February 2026, 12:52
Zaidi bilioni 39 zapitishwa kwa matumizi mwaka wa fedha 2026/27 Bariadi DC
“Hatutakuwa na uvumilivu kwa watendaji wazembe ambao watakuwa sehemu ya kukwamisha ukusanyaji wa mapato ya halmashauri tunataka ufanisi zaidi katika kukusanya mapato ili kurahisisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa wananchi”. Na,Daniel Manyanga Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya…