Maji
27 March 2026, 14:11 pm
Kilimo cha mavundu chatoa tumaini kwa wakulima Nachingwea
‘Kilimo ni uti wa mgongo’, huu ni msemo uliotumiwa tangu enzi za kale na hadi leo msemo huu unaishi ndani ya jamii zetu na kutambua umuhimu wa kilimo katika maisha. Na. Faraja Membe Shirika la Kuhifadhi Misitu Asili Tanzania (TFCG),…
18 March 2026, 16:43
TANROADS Simiyu waanza ujenzi wa barabara ya heavy weight
“Tunahitaji kuwa na miundombinu imara ya barabara ili kulinda usalama wa vyombo vya usafiri pamoja na watumiaji wake maana siku hizi kelele zimekuwa nyingi sana kutoka kwa watumiaji wa barabara juu ya ubovu wake na namna ambavyo unachangia kuhari vyombo…
17 March 2026, 13:22
RC Macha amaliza mgogoro wa fidia kwa wananchi
“Ni kweli hakuna mtu asiyependa maendeleo ya nchi yake kila wananchi anatamani kuona miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa wingi bila changamoto zozote zile za kimaslahi kwa wale wanaopaswa kulipwa fidia zao kutokana na kupisha miradi hiyo katika maeneo hayo”. Na,Daniel…
17 March 2026, 06:19
RC Macha ataka elimu ya matumizi ya barabara
“Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anamringi Macha ameagiza watu wote wanoharibu miundombinu ya barabara kwa namna mbalimbali ikiwemo kupitisha mifugo kwenye barabara za lami mkoani humo wapatiwe elimu juu ya matumizi ya barabara na baada ya kuelemishwa wale wote watakaoendelea kufanya shughuli zinazoharibu miundombinu…
13 March 2026, 2:45 pm
Madereva wakumbushwa kukagua magari kuepusha ajali
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa nchini wito umetolewa kwa watumiaji wa barabara pamoja na madereva kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa vyombo vyao vya moto ili kuepusha ajali. Na Oliva Joel Hai -Kilimanjaro Katika kipindi hiki…
11 March 2026, 14:21
DC Anney atangaza msako kwa wadaiwa sugu wa mikopo ya 10%
“Hatuwezi kupoteza fedha za walipa kodi kwa watu wasiokuwa waaminifu wanaokuja kwa kuomba mikopo kwenye halmashauri zetu wanapewa ikifika wakati wa marejesho wanaingia mitini lazima tuwe na sheria kali katika kulinda kodi za wananchi kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.”…
6 March 2026, 6:00 pm
Mwanakulya “Wanawake chachu ya maendeleo”
“Msherehekee na kuanzimisha siku ya wanawake duniani” Na Samwel Mbugi Wanawake manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutambua na kuthamini mchango wa mwanamke katika jamii. Akizungumza mbele ya wanawake katika ukumbi wa manispaa ya…
6 March 2026, 09:27
Wakulima wa pamba waomba sheria kali waliochezea mizani msimu mwaka jana Simiyu
“Tunatumia nguvu kazi kubwa sana hadi pamba kufika sokoni tukitarajia tutapata faida kutokana na kile ambacho tumekifanya kwa msimu mzima wa kilimo halafu panatokea mtu mmoja tu anaanza kutengeneza faida kutokana na jasho la watu wengine hii haipo sawa tunawavunja…
2 March 2026, 12:15
Hatma ya 50 kwa 50 kwa wanawake kwenye siasa ifikapo mwaka 2030
Na Rajabu Mrope Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, mwaka 2010, wagombea wanawake wa ubunge wa majimbo walikuwa 12.4 mwaka 2015 ilikuwa 2% na mwaka 2020 ni 27.6% na mwaka 2025 asilimia 32.17%. Idadi wagombea inaonesha mwendelezo…
24 February 2026, 11:38
Kituo cha kupozea umeme suluhisho sahihi kwa wakazi wa Simiyu
“Tunahitaji kuwa na umeme wa uhakika ili kuvutia wawekezaji wakubwa kwenye viwanda maana hatuwezi kuwa na wawekezaji wakubwa wakati huo hatuna umeme wetu wa uhakika lazima sasa juhudi zifanyike kwa namna yoyote ile”. Na,Daniel Manyanga Wakazi wa mkoa wa Simiyu…