
Recent posts

17 July 2025, 9:41 pm
Mwalimu ahukumiwa miaka 30 kwa ubakaji
Awali imeelezwa mahakamani kuwa mtuhumiwa alitenda makosa hayo kwa nyakati tofauti kuanzia tarehe 16 Julai 2024 ambapo alifanya vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia kwa wanafunzi watano wa kike na mmoja wa kiume, wote wenye umri kati ya miaka 14 na…

16 July 2025, 11:25 am
‘Kuwatenga hakusaidii kuachana na madawa ya kulevya’
“Ni vyema jamii ikaacha kuwatenga vijana waliojiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya na kuwa karibu nao ili kuwawezesha kuacha kutumia dawa hizo na kubadili maisha yao.” Na Abdilhalim Shukran Jamii imeaswa kutowatenga vijana ambao wamejiingiza katika matumizi ya dawa…

16 July 2025, 10:45 am
Pangani wakiri kuchangia kupungua kwa kiwango cha mvua
“Kuna watu wanasema miti na binadamu inategemeana sasa tukiikata hii miti tutaishije?” Na Catherine Sekibaha Wananchi wilayani Pangani mkoani Tanga wametakiwa kutunza mazingira ili kunusuru hali ya uharibifu iliyopo kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho. Wakizungumza wakati wa…

6 July 2025, 2:06 am
Je, ni kwanini wanafungiwa ndani?
Elimu jumuishi itasaidia kutoa fursa kwa watoto wenye ulemavu kupata haki zao. Na Cosmas Clement Wazazi na walezi wa watoto wenye ulemavu wilayani Pangani Mkoani Tanga wameaswa kutoa ushirikiano kwa serikali katika kuwafichua watoto wao na kuwapa fursa ya kupata…

26 June 2025, 10:59 am
Washauriwa kutumia uzi kusafishia meno baada ya kula
“Matumizi ya vijiti visivyofaa kuondolea mabaki ya chakula huchangia maambukizi ya bakteria katika fizi ya binadamu.” JAMII yashauriwa kutumia uzi maalumu wa kusafishia mabaki ya chakula katika meno tofauti na matumizi ya Vijiti visivyofaa. Hayo yameelezwa na mtaalamu wa afya…

26 June 2025, 10:38 am
Fahamu faida watoto wenye mahitaji maalumu kupata elimu
“lengo la mafunzo hayo ni kuwaibua watoto wenye mahitaji maalumu ili kutambulika na kujumuishwa katika elimu sawa na watoto wengine.” Na Cosmas Clement Halmashauri ya wilaya ya Pangani imeanza utekelezaji wa mpango wa elimu jumuishi chini ya mradi wa Shule…

26 June 2025, 9:54 am
Wazazi waaswa kuwa macho ukatili wa watoto nyumbani
“Nalipongeza shirika la UZIKWASA kwa kutoa elimu kwa jamii juu ya masuala ya ukatili wa kwa wanawake na watoto, jamii kila mtu awajibike katika nafasi yake katika hili.“ Na Cosmas Clement Wazazi na walezi wilayani Pangani mkoani Tanga wametakiwa kusimama…

18 June 2025, 1:55 pm
Wananchi waaswa kulinda miundombinu ya maji
Naipongeza RUWASA kwa utekelezaji wa mradi huu na ushirikiano mnaouonesha, kuweka jiwe la msingi katika mradi huu ni kama nauonea mimi nilitaka kuuzindua kabisa kwa sababu ni mradi uliofuata hatua za utekelezaji. Na Cosmas Clement Wakazi wa vijiji vya mikocheni…

18 June 2025, 1:41 pm
Watoto Pangani waiangukia serikali ulinzi dhidi ya ukatili
Tunaomba serikali na wadau mbalimbali kuwa na mikakati madhubuti ya pamoja itakayoimarisha ulinzi wa mtoto. Na Hamisi Makungu Watoto wilayani Pangani wameiomba serikali kushirikiana na wadau kuweka mikakati madhubuti ya pamoja katika kumlinda mtoto dhidi ya matukio ya kikatili ndani…

18 June 2025, 1:24 pm
Je wazazi wanawajibika kuwalinda watoto dhidi ya ukatili?
Matukio ya ukatili kwa watoto ni miongoni mwa matukio yanayodidimiza mustakabali wa ustawi bora kwa watoto. Na Hamisi Makungu Wazazi na walezi wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kuwa makini na kuwalinda watoto wao dhidi ya vitendo vya Ubakaji na ulawiti…