Pangani FM

Pumzika kwa amani JPM tunaonana baadaye.

6 April 2021, 7:33 pm

Leo Aprili 6 ndio tamati ya siku 21 za maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

sikiliza hapa chini ujumbe maalum wa Pangani FM katika kutamatisha maombolezo ya msiba huu mkubwa wa Kitaifa.