Pangani FM

Miundombinu ya Elimu ilivyoleta hamasa na kunyayua ufaulu kwa wasichana Wilayani Pangani

22 June 2026, 12:53

Picha ikionesha baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Funguni wakijisomea

Na Saa Zumo

Katika miaka ya nyuma, baadhi ya wanafunzi wa kike Wilayani Pangani mkoani Tanga walikumbwa na changamoto mbalimbali zilizokuwa zikichangia kushuka kwa hamasa ya elimu na ufaulu katika masomo yao.

Baada ya Serikali kuweka mikakati ya kuboresha miundombinu ya shule za sekondari kupitia ujenzi wa madarasa, maabara, mabweni, hosteli, nyumba za walimu, shule mpya za amali na kuhakikisha wanafunzi wanapata vifaa vya kujifunzia ikiwemo vitabu na vifaa vya maabara.

Hamasa ya elimu kwa wasichana imeongezeka na sasa wanafanya vizuri hususani katika masomo ya Sayansi.

Sikiliza hapa