Pangani FM

19 February 2022, 3:41 pm

Shirika la UZIKWASA lililopo Mjini Pangani leo limehitimisha Mafunzo yake ya Uongozi wa Mguso kwa Wanandoa yaliyodumu kwa Siku tatu.

Hii leo ikiwa ni Siku ya Tatu na ya Mwisho ya Mafunzo hayo, baadhi ya wanandoa waliopatiwa mafunzo hayo mbali na kulishukuru Shirika hilo, wamesema mafunzo waliyoyapata yamewawezesha kungundua Mambo mbalimbali ambayo yamepelekea kuingia katika migogoro.

sikiliza hapa taarifa iliyoandaliwa na mwanahabari wetu Cosmas Clement.