Pangani FM

Uelewa mdogo wa matumizi ya Barakoa Pangani.

3 August 2021, 8:59 pm

Wauzaji wa barakoa Wilayani Pangani Mkoani Tanga wameeleza namna wanavyowaelimisha wananchi juu ya matumizi sahihi ya barakoa.

Wakizungumza na Pangani FM kwa nyakati tofauti wauzaji wao licha ya kueleza umuhimu wa kuvaa barakoa wametaja kile walichokiita ni uelewa mdogo kwa baadhi ya wananchi juu ya umuhimu wa kuvaa barakoa.

Sikiliza hapa taarifa ya Mwanahabari wetu MAAJABU MADIWA