Pangani FM

Stamina ndani ya Banja Beat ya Pangani FM

19 August 2022, 10:22 am

Niaje, Karibu kusikiliza Podcast ya Pangani FM

Leo hii tumekuletea mkali wa vina na ‘wordplay’ stamina ambaye amepia stori na Mtangazaji wetu Stephano Simanagwa katika kipindi cha Banja Beat kinachokwenda hewani Jumatatu mpaka Ijumaa saa 8 kamili mchana mpaka saa 10 Jioni.