Pangani FM

Malipo ya fidia kwa Wananchi Barabara ya Tanga-Pangani.

23 April 2021, 8:53 pm

Serikali imeidhinisha malipo ya fidia kwa Wananchi wanaopisha ujenzi wa Barabara ya Tanga-Pangani Saadan- Bagamoyo kwa kiwango cha lami.

Katika mahojiano maalum Mbunge wa Jimbo la Pangani ambaye pia ni Waziri wa Maji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jumaa Hamidu Aweso amesema Fedha za malipo ya fidia zimekwishaingizwa Mkoani kwaajili ya TANROADS kuweka utaratibu wa malipo kama anavyozungumza na mwenzetu MAAJABU MADIWA.

Sikiliza hapa Mahojiano hayo