Pangani FM

Noorah ‘Baba Stylz’: Najishauri sana kuendelea na muziki

16 March 2023, 11:25 am

Msanii Noorah. Picha na Zamastreet.

Na Erick Mallya

Ukizungumzia wasanii wa Rap Tanzania wenye mchango mkubwa sana kwenye mitindo na uandishi wa ‘Rappers’ wengi wa kizazi hiki huwezi kuacha kulitaja Jina la Noorah ‘Baba Stylz’.

Mpaka sasa Nooraha anwakilisha kundi la ‘Chemba Squad’ lililoanzishwa 1999 wakati Ngwea, Mez B, Dark Master, Noorah na wengine wakiwa wanasoma katika Shule ya Sekondari ya Mazengo mjini Dodoma.

Karibu kusikiliza Mazungumzo aliyofanya Noorah na Mtangazaji wetu Erick Mallya katika kipindi cha Banja Beat kinachoruka kupitia Pangani FM.

Interview Noorah Part 1.
Interview Noorah Part 2